Je unaweza kula nyama ya mifugo waliolishwa Funza? Kufuga Nguruwe, Kuku, Samaki kwa ... Bidhaa hizi zitatumika kulisha wanyama wanaofugwa na kisha kuwa vyakula vya wanyama wa majini baadaye.
16 Oktoba 2018 Hofu ya ongezeko la ulaji nyama duniani, imewafanya wanasayansi kuvumbua mfumo wa kutengeneza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku. Kampuni moja ya ...